Bunge La Kenya Kufuata Nyayo Za Uganda
Licha ya ghadhabu ya kupitishwa kwa sheria ya kupinga ushoga nchini Uganda, Kenya inakabiliwa na hali sawa iwapo wabunge wataidhinisha...
Licha ya ghadhabu ya kupitishwa kwa sheria ya kupinga ushoga nchini Uganda, Kenya inakabiliwa na hali sawa iwapo wabunge wataidhinisha...
Muungano wa Maafisa wa Klinik nchini wameipa serikali muda wa siku 44 wa kufanya upya kandarasi kwa wahudumu elfu 9,000...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha (UDA) Seth Panyako amedai kuwa Rais William Ruto alimwambia aondoke kwenye chama tawala. Haya...
Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) imeomba kutengewa bajeti ya kila mwaka ya Ksh Bilioni.14.8 ili kukabiliana na uhaba wa walimu...
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji amedokeza kuwa miaka yake 6 ya uongozi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Kanini Kega ametangaza kuwa ataandaa Kongamano lingine la Wajumbe wa Chama cha Jubilee (NDC)...
Kamanda wa polisi wa Bungoma, Francis Kooli amemwagiza Nabii Yohana wa tano, anayejiita kiongozi wa kanisa la 'Muungano For All...
Hisia balimbali zimeenea mtandaoni baada ya Wakenya kadhaa kulalamika kuhusu Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya (NHIF) kuondoa asilimia...
Huduma zimelemazwa leo hii Jumanne kwa siku ya pili huku wafanyikazi wa Kaunti ya Nairobi wakiendelea na mgomo waliokuwa wameitisha....
Mahakama kuu mjini Kisumu imekubali hukumu ya Mahakama ya Winam dhidi ya rufaa ya raia wa Italia Paolo Camelini, ambaye...