Watoto 17 Waripotiwa Kutoweka Nchini Kenya Kila Siku
Wakati ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa ya watoto waliopotea, takwimu zimeonyesha kuwa takriban watoto elfu 6,500 hupotea kila mwaka...
Wakati ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa ya watoto waliopotea, takwimu zimeonyesha kuwa takriban watoto elfu 6,500 hupotea kila mwaka...
Hali ya wasiwasi imetanda katika eneo la Loruk huko Baringo Kaskazini baada ya majambazi kuvamia na kumpiga risasi mtu mmoja...
Maafisa wa polisi Nakuru wamelinasa lori moja lililokuwa limebeba bidhaa aina ya Ethanol yenye gharama ya takriban shilingi milioni 3.9....
Maafisa sita wa polisi walio katika kituo cha polisi cha Konoin kaunti ya Bomet wanaendelea na matibabu katika hospitali ya...
Huduma ya Taifa ya Vijana NYS imeanza zoezi lake la kuajiri vijana nchini. Zoezi hilo la siku tano linakuja...
Watu 6 wameaga dunia kutokana na ajali mbaya ya barabara katika eneo la Sachangwan, eneo bunge la Molo kaunti ya...
Mwanaume wa miaka 48 ambaye alitoweka siku nne zilizopita amepatikana leo hii Jumamosi akiwa amefariki na mwili wake kutupwa kando...
Idara ya Upelelezi na makosa ya Jinai (DCI) leo hii Jumamosi, imeanzisha msako wa kuwasaka washukiwa waliovamia kituo cha redio...
Kitengo cha Independent Medico-Legal Unit (IMLU) kimelaani hatua ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakabili wananchi baada ya...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KNCHR) imeikosoa serikali kuhusu operesheni ya usalama ya Shakahola, ikisema kwamba...