Baraza La Mawaziri Laidhinisha Kuanzishwa Kwa Kamati Maalum
Baraza la Mawaziri limeidhinisha kuanzishwa kwa kamati maalum kuhusu miswada ambayo haijashughulikiwa. Kamati ya Uhakiki wa Miswada Inayosubiri itatwikwa...
Baraza la Mawaziri limeidhinisha kuanzishwa kwa kamati maalum kuhusu miswada ambayo haijashughulikiwa. Kamati ya Uhakiki wa Miswada Inayosubiri itatwikwa...
Jopo la kuwaajiri watu walioteuliwa wanaotaka kuchukua nafasi ya Noordi Haji kama Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma DPP limezinduliwa. ...
Azimio la Umoja imetangaza msururu wa maazimio ya kukabiliana na Rais William Ruto, ambaye alipuuza matakwa yao kuhusu Sheria ya...
Washirika wa Azimio wamezidisha wito wa kuchukuliwa hatua kwa wingi juu ya gharama ya juu ya maisha nchini Wakizungumza...
Tume ya Maadili na Kupambana na ufisadi EACC imeanzisha uchunguzi kuhusu tuhuma za udanganyifu wa taratibu za ununuzi katika Chuo...
Timu ya Kenya Kwanza ya mazungumzo ya pande mbili Bipartsan sasa inataka Jopo la Uchaguzi la tume huru ya uchaguzi...
Uchunguzi wa umma kuhusu udanganyifu wa matibabu unaohusisha Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya (NHIF) utazinduliwa hivi karibuni. Kamati...
Gavana wa Benki Kuu ya Kenya (CBK) Kamau Thugge anasema hakutakuwa na shinikizo la mfumuko wa bei kwa Wakenya kutokana...
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga amerejea nchini kabla ya mkutano unaotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kamukunji...
Polisi mjini Eldoret wanamsaka msichana wa umri wa miaka 21 ambaye anashukiwa kutoa mimba na kutupa kijusi cha kiume cha...