Uganda Yapitisha Mswada Wa Kuongeza Siku Za Likizo Ya Baba
Bunge la Uganda limepitisha mswada unaopendekeza kuongezwa kwa likizo ya uzazi kutoka siku nne hadi saba ili kuwawezesha wanaume kuwasaidia...
Bunge la Uganda limepitisha mswada unaopendekeza kuongezwa kwa likizo ya uzazi kutoka siku nne hadi saba ili kuwawezesha wanaume kuwasaidia...
Mbunge wa Lagdera Kaunti ya Garissa Abdikadir Hussein hii leo Jumamosi amekashifu mpango wa chama chake cha ODM wa kurejea...
Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) imetangaza nafasi 488 za walimu na walimu wa myamjani kote nchini. Katika notisi, Tume...
Mrengo wa Jubilee unaoongozwa na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Kanini Kega umebaini kuwa uko tayari kunyoosha masuala...
Naibu Mwenyekiti wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Seth Panyako amejiuzulu wadhifa wake katika chama tawala ambacho kiko katika...
Naibu Rais Rigathi Gachagua hii leo Jumamosi amewakaribisha waliokuwa Wabunge wa Chama cha Jubilee kutoka mlima Kenya ambao walionyesha kuunga...
Jengo katika eneo la Marikiti kaunti ya Mombasa limeporomoka hii leo Jumamosi, Mei 27 baada ya kupata nyufa kadhaa. ...
Maoni ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga jana Ijumaa kugawa Kenya katika sehemu mbili yamezua hisia mseto miongoni mwa viongozi...
Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) leo hii Jumamosi, Mei 27, imetoa wito kwa umma kuisaidia kufuatilia matatu...
Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) mnamo Alhamisi, Mei 25, walimwokoa mama mjamzito walipokuwa wakiendesha operesheni katika Jamhuri...