Cleophas Malala Afichua Viongozi Wa Azimio Wanaotaka Kujiunga Na Ruto
Katibu wa United Democratic Alliance Cleophas Malala amewakashifu wanasiasa wa Azimio akiwaita wanafiki wanaojifanya watetezi wa umma huku wakifuata masilahi...
Katibu wa United Democratic Alliance Cleophas Malala amewakashifu wanasiasa wa Azimio akiwaita wanafiki wanaojifanya watetezi wa umma huku wakifuata masilahi...
Waziri wa Ulinzi Aden Duale amepuuzilia mbali mwito wa kiongozi wa upinzani Raila Odinga wa kutaka kugawa taifa hili mara...
Kiongozi wa muungano cha Azimio la Umoja One-Kenya Raila Odinga ameikashifu serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na Rais William Ruto...
Kwa mara ya kwanza hii leo Jumamosi, Mei 27 Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa onyo lililoelekezwa kwa Rais William Ruto...
Familia moja katika eneo bunge la Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay, inatafuta haki kwa binti yao mwenye umri wa miaka...
Mbunge wa Lagdera Kaunti ya Garissa Abdikadir Hussein hii leo Jumamosi amekashifu mpango wa chama chake cha ODM wa kurejea...
Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) imetangaza nafasi 488 za walimu na walimu wa myamjani kote nchini. Katika notisi, Tume...
Mrengo wa Jubilee unaoongozwa na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Kanini Kega umebaini kuwa uko tayari kunyoosha masuala...
Naibu Mwenyekiti wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Seth Panyako amejiuzulu wadhifa wake katika chama tawala ambacho kiko katika...
Naibu Rais Rigathi Gachagua hii leo Jumamosi amewakaribisha waliokuwa Wabunge wa Chama cha Jubilee kutoka mlima Kenya ambao walionyesha kuunga...