Wazazi Waibua Wasiwasi Juu Ya Hatua Ya Serikali Ya Kukata Ufadhili Kwa Wanafunzi Wa C+
Wazazi wameibua wasiwasi kuhusu hatima ya wanafunzi huku serikali ikifikiria kupunguza ufadhili wa wanafunzi waliopata alama ya C+ katika mtihani...
Wazazi wameibua wasiwasi kuhusu hatima ya wanafunzi huku serikali ikifikiria kupunguza ufadhili wa wanafunzi waliopata alama ya C+ katika mtihani...
Wawekezaji wa Uchina wametoa wito kwa serikali ya Kenya kudhamini mazingira mazuri ya biashara kufuatia kufungwa kwa muda usiojulikana kwa...
Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden Jumapili, alitembelea jamii zilizoathiriwa na ukame nchini Kenya na kutoa wito kwa mataifa...
Sasa itakuwa ni kinyume cha sheria kwa mtu yeyote kutumia bunduki kuchunga mifugo yake. Rais William Ruto jana Jumapili...
Idadi ya Wakenya waliohitimu wanaotafuta kazi bila matunda baada ya kuacha shule imeongezeka huku wengi zaidi wakikata tamaa ya kutafuta...
Wiki moja baada ya mameneja na wasimamizi katika makampuni mawili ya kimataifa ya chai James Finlay na Ekaterra (zamani Unilever)...
Watu wanaokamatwa siku ya Ijumaa au wikendi hawatalazimika tena kukaa usiku kucha katika seli za polisi wakisubiri kushughulikiwa kwa dhamana...
Mtu mmoja amefariki na wengine 42 kujeruhiwa vibaya baada ya basi lililokuwa likielekea Nakuru kupata ajali eneo la Karai kwenye...
Kenya ni nchi ya saba ya Afrika kwa kuvutia kibiashara kwa mujibu wa cheo kilichochapishwa na kampuni ya ushauri ya...
Kampuni ya Kuzalisha Umeme nchini (KenGen) imekashifu madai ya uhaba wa umeme nchini kutokana na mvua ndogo inayotarajiwa nchini. ...