Madaraka Day: Wawakilishi Wa Wadi Wa Embu Wasitisha Vikao
Wawakilishi wadi wa bunge la kaunti la Embu wamesitisha vikao vyote vya kaunti hiyo wakilalamikia mishahara duni na kushindwa kwa...
Wawakilishi wadi wa bunge la kaunti la Embu wamesitisha vikao vyote vya kaunti hiyo wakilalamikia mishahara duni na kushindwa kwa...
Rais William Ruto, mnamo Alhamisi, Juni 1 ameitangaza kubuniwa kwa mfumo mpya wa usafiri ili kupunguza gharama ya uchukuzi. ...
Rais wa Comoro Azali Assoumani amemshukuru Rais William Ruto kwa kumuunga mkono kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika. Assoumani alichukua...
Rais William Ruto amewahakikishia wakenya kuwa atashirikiana na viongozi wote kwa ajili ya ustawi wa Kenya. Akizungumza huko Embu...
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameendelea na mashambulizi yake kwenye vyombo vya habari akidai Vilikua dhidi ya Kenya Kwanza wakati wa...
Rais William Ruto amesema serikali yake imeshirikiana na serikali za kaunti kuajiri maafisa wa kuhamasisha jamii kuhusu afya (C.H.Ps) kote...
Chama cha Wauzaji wa Mafuta nchini (POAK) kimeibua hofu kuhusu utumiaji mdogo wa mafuta ulioanishwa na madereva nchini. Katika...
The Sports Cabinet Secretary, Ababu Namwamba, yesterday oversaw the opening of the newly constructed Moi Stadium in Embu. Ahead...
Jaji Mkuu, Martha Koome hii leo Alhamisi, Juni 1 aliwasili kwenye sherehe za Siku ya Madaraka katika Uwanja wa Moi...
Rais William Ruto anaongoza Maadhimisho yake ya kwanza ya Siku ya Madaraka siku ya Alhamisi, Juni 1, karibu miezi 10...