ODPP: 65 Waliookolewa Shakahola Wanapaswa Kulazimishwa Kula
Upande wa Mashtaka unaomba amri ya mahakama kwa watu 65 waliookolewa kutoka msitu wa Shakahola kuzuiliwa katika Gereza la Shimo...
Upande wa Mashtaka unaomba amri ya mahakama kwa watu 65 waliookolewa kutoka msitu wa Shakahola kuzuiliwa katika Gereza la Shimo...
Rais William Ruto amemteua Dkt Kamau Thugge kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Kenya (CBK). Hii ni baada ya...
Kesi imewasilishwa katika Mahakama Kuu ikitaka Gavana wa Isiolo Abdi Guyo na naibu wake John Lowasa kuondolewa afisini kwa kuhamia...
Noordin Haji ameapishwa kama Mkurugenzi Mkuu mpya wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS). Haya yanajiri siku moja baada...
Masomo na shughuli zingine zilitatizwa Usiku wa jana Jumanne katika Shule ya Msingi ya Bukacha katika Kaunti ya Bomet, baada...
Maafisa wanane wa Kikosi Maalum cha KDF waliuawa jana Jumanne baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi eneo la Bodhei...
Zaidi ya watu 100 wamekufa maji kaskazini mwa Nigeria baada ya mashua iliyokuwa imebeba familia waliokuwa wakitoka kwenye harusi kuzama...
Wabunge wana kazi ya kuhakikisha kwamba maoni ya wakenya wanawakilishwa vyema katika mswaada wa fedha 2023 unaojadiliwa katika bunge la...
Kizaazaa kilitanda nje ya Bunge la Kaunti ya Murang'a huku wabunge kadhaa wakizuia lango la wawakilishi wadi dhidi ya kutoka...
Kambi inayomuunga mkono Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta imepuuzilia mbali notisi inayotaka chama cha Jubilee kuondoka Azimio. Mrengo huo unaoongozwa...