Wakenya Wamshangilia Martha Koome
Jaji Mkuu, Martha Koome hii leo Alhamisi, Juni 1 aliwasili kwenye sherehe za Siku ya Madaraka katika Uwanja wa Moi...
Jaji Mkuu, Martha Koome hii leo Alhamisi, Juni 1 aliwasili kwenye sherehe za Siku ya Madaraka katika Uwanja wa Moi...
Rais William Ruto anaongoza Maadhimisho yake ya kwanza ya Siku ya Madaraka siku ya Alhamisi, Juni 1, karibu miezi 10...
Mwanamke mjamzito aliyefukuzwa kutoka hospitali ya kaunti ndogo ya Kitengela kwa kukosa Sh1,000 amejifungua kando ya barabara huko Noonkopir hii...
Watuhumiwa wanane walifikishwa mahakamani Jumatano wakihusishwa na upotevu wa mifuko 4,520 ya mbolea ya ruzuku ya serikali iliyokuwa ikitumwa katika...
Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki ametangaza kwamba Wakenya walio na dharura watashughulikiwa ndani ya saa 24. Akiwahutubia...
Rais William Ruto ameteua wagombeaji wawili ambao watahudumu kama Makatibu Wakuu wiki chache baada ya mabadiliko madogo. Katika taarifa...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege vya Kenya (KAA) hii leo Jumatano, Mei 30 imefafanua kwamba ripoti za awali za tukio...
Wazazi wa wanafunzi waliofariki baada ya kisa cha kula sumu katika Shule ya Upili ya Wasichana ya Mukumu watapokea Ksh.ELFU...
Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU) Francis Atwoli amepuuzilia mbali ripoti za vyombo vya habari kwamba wafanyikazi...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege vya Kenya (KAA) Hii leo Jumatano, Mei 31, imetangaza tukio la ajali lililohusisha ndege iliyopaa...