Ubalozi Wa Marekani Wahairisha Tarehe Ya Kuanza Kwa Ada Mpya Za Visa Za Wahamiaji
Ubalozi wa Marekani mjini Nairobi Hii leo Ijumaa, Juni 2, uliahirisha mipango ya kuongeza ada za viza kwa waombaji wasio...
Ubalozi wa Marekani mjini Nairobi Hii leo Ijumaa, Juni 2, uliahirisha mipango ya kuongeza ada za viza kwa waombaji wasio...
Maafisa wa polisi katika eneo la Naivasha kaunti ya Nakuru wamemkamata mshukiwa mmoja kuhusiana na biashara za pombe haramu. ...
Calvin Ochieng, mwendeshaji bodaboda katika mtaa wa Nairobi Kilimani, alikuwa miongoni mwa watu ambao Rais William Ruto aliwatambua katika hotuba...
Rais William Ruto, mnamo Alhamisi, Juni 1 ameitangaza kubuniwa kwa mfumo mpya wa usafiri ili kupunguza gharama ya uchukuzi. ...
Rais wa Comoro Azali Assoumani amemshukuru Rais William Ruto kwa kumuunga mkono kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika. Assoumani alichukua...
Rais William Ruto amewahakikishia wakenya kuwa atashirikiana na viongozi wote kwa ajili ya ustawi wa Kenya. Akizungumza huko Embu...
Chama cha Wauzaji wa Mafuta nchini (POAK) kimeibua hofu kuhusu utumiaji mdogo wa mafuta ulioanishwa na madereva nchini. Katika...
Jumla ya wakulima 4,287,713 wamesajiliwa katika kipindi cha miezi mitano iliyopita katika harakati inayoendelea ya usajili wa wakulima ndio taarifa...
Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU) Francis Atwoli amepuuzilia mbali ripoti za vyombo vya habari kwamba wafanyikazi...
Kenya inaadhimisha siku ya "Siku ya Kutotumia Tumbaku Duniani" huku kukiwa na mwito mkubwa wa mamilioni za ardhi ulimwenguni pote...