Magavana Wa Nyanza Wakumbwa Na Bili Nyingi Za Madeni Na Mishahara
Jinamizi la bili kubwa za mishahara zinaendelea kusumbua baadhi ya kaunti za Nyanza katika mwaka wa kifedha wa 2023/2024, hata...
Jinamizi la bili kubwa za mishahara zinaendelea kusumbua baadhi ya kaunti za Nyanza katika mwaka wa kifedha wa 2023/2024, hata...
Watumiaji wa barabara kuu ya Nairobi-Nakuru yenye shughuli nyingi wana sababu ya kutabasamu baada ya serikali kuingilia kati na kuashiria...
Waziri Mkuu Musalia Mudavadi amewataka wakosoaji wa Mswada wa Fedha wa 2023 kuipa serikali njia mbadala za kukusanya mapato katika...
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Taasisi ya Masuala ya Kiuchumi Kwame Owino anasisitiza kwamba Ushuru wa Kitaifa wa Nyumba uliopendekezwa katika...
Kumekuwa na wakati mwepesi wakati wa mjadala wa Mazungumzo tata uliyoandaliwa na Citizen TV Jumatano baada ya Waziri wa Biashara...
Kiongozi wa muungano wa upinzani Azimio La Umoja Raila Odinga amewataka wakenya kuwa tayari kwa maandamano kote nchini iwapo serikali...
Katibu Mkuu wa Idara ya makazi na Maendeleo ya Mijini Charles Hinga hii leo Jumanne amefika mbele ya Kamati ya...
Mwanamume wa makamo amefariki baada ya kukanyagwa na lori lililokuwa likisafirisha miwa alipokuwa akijaribu kuchomoa muwa kutoka kwa gari lililokuwa...
Waandamanaji kadhaa waliojitokeza katika barabara za Nairobi kupinga mapendekezo ya Mswada wa Fedha wa 2023-24 wamekamatwa. Waandamanaji hao waliobeba...
Mwenyekiti wa Shirika la Kitaifa la Mafuta nchini Kenya Kiraitu Murungi amemtaka Rais William Ruto kuwekeza katika uzalishaji wa mafuta...