Gachagua: Kenya Kwanza Imeweka Mazingira Mazuri Kwa Wawekezaji
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewahimiza wawekezaji wa kigeni kuwekeza nchini kwa sababu ya mazingira mazuri ambayo serikali imeendeleza tangu kuchukua...
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewahimiza wawekezaji wa kigeni kuwekeza nchini kwa sababu ya mazingira mazuri ambayo serikali imeendeleza tangu kuchukua...
Waziri wa Biashara na Uwekezaji Moses Kuria ametoa uamuzi kwa wauzaji na watengenezaji wote wa pombe na kuweka kiwango kipya...
Wakenya huenda wakapata afueni ikiwa Bunge la Kitaifa litapitisha mapendekezo kutoka kwa Kamati yake ya Fedha na Mipango ya kupunguza...
Kenya na Djibouti zimetia saini hati nne za maelewano kuhusu maeneo tofauti kwa lengo la kuimarisha uhusiano baina ya nchi...
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewataka machifu, wasaidizi wao na mashirika mengine ya usalama kuchagua kati ya kupoteza kazi na kutokomeza...
Kamati ya Bunge ya Kitaifa ya Fedha na Mipango imetoa mapendekezo zaidi kwa vifungu kadhaa vyenye utata katika muswada wa...
Hazina ya Kitaifa imetoa Ksh.33 bilioni zinazodaiwa na kaunti ili kulipa bili mbalimbali ambazo hazijakamilika. Kati ya pesa hizo,...
Rais William Ruto hatimaye amepata mahindi ya bei nafuu siku chache baada ya Serikali ya Tanzania, inayoongozwa na Rais Samia...
Jinamizi la bili kubwa za mishahara zinaendelea kusumbua baadhi ya kaunti za Nyanza katika mwaka wa kifedha wa 2023/2024, hata...
Watumiaji wa barabara kuu ya Nairobi-Nakuru yenye shughuli nyingi wana sababu ya kutabasamu baada ya serikali kuingilia kati na kuashiria...