Raila Arejea Nchini Kabla Ya Mkutano Wa Azimio Kamukunji
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga amerejea nchini kabla ya mkutano unaotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kamukunji...
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga amerejea nchini kabla ya mkutano unaotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kamukunji...
Polisi mjini Eldoret wanamsaka msichana wa umri wa miaka 21 ambaye anashukiwa kutoa mimba na kutupa kijusi cha kiume cha...
Polisi wameahidi kutoingilia kati au kumzuia kiongozi wa upinzani, Raila Odinga, kufanya mkutano wake wa hadhara wa Kamukunji unaotazamiwa kwa...
The country's law enforcers have vowed not to interfere with Azimio Kamukunji rally slated this afternoon. According to Nairobi...
Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki ametangaza Juni 28, 2023 kuwa sikukuu ya kuadhimisha Eid-Ul-Adha. Kindiki amebainisha tangazo...
Interior Cabinet Secretary(CS) Kithure Kindiki has declared Wednesday, June 28 a public holiday to mark Eid-Ul-Adha (Eid-Ul-Azha). "It is...
Sehemu ya Chuo Kikuu cha Kiufundi cha Mombasa(TUM) imeteketea kwa moto hii leo Jumatatu saa sita mchana huku wanafunzi wakiandamana...
Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa, Gladys Boss amehoji nia ya Katibu Mkuu wa United Democratic Alliance (UDA) Cleophas Malala...
Mahakama ya Juu kwa mara ya pili imekataa kusitisha Mswada wa Fedha ambao umetiwa saini na Rais William Ruto kuwa...
Rais William Ruto anasema ametumia Ksh.250 milioni kutoka mfukoni mwake katika kipindi cha miaka 10 kusaidia uchangishaji fedha kwa waendeshaji...