DJ Brownskin Ashtakiwa Kwa Kusaidia Kujiua Kwa Mkewe Sharon
DJ Brownskin anayejulikana kama Michael Macharia Njiiri ameshtakiwa hii leo Jumatatu kwa kusaidia kujiua kwa mkewe Sharon Njeri Mwangi mnamo...
DJ Brownskin anayejulikana kama Michael Macharia Njiiri ameshtakiwa hii leo Jumatatu kwa kusaidia kujiua kwa mkewe Sharon Njeri Mwangi mnamo...
Wataalamu wa afya wanaonya kuwa magonjwa yasiyoambukiza (NCD) yanazidi kuwa tishio katika nafasi ya pili kama sababu kuu ya vifo...
Polisi huko Busia wanawashikilia wafanyikazi wawili wa G4S waliokamatwa wakisafirisha bangi ya thamani ya Ksh 1 milioni. Wawili hao walinaswa...
Katibu wa maswala ya kisiasa wa chama cha KANU Fred Okang'o ametoa changamoto kwa serikali kufafanua mpango wa Makazi wa...
Mbunge wa Ugenya David Ochieng’ ameitaja Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya (NHIF) kama taasisi fisadi kutokana na kushindwa...
Wakenya huenda wakapata afueni ikiwa Bunge la Kitaifa litapitisha mapendekezo kutoka kwa Kamati yake ya Fedha na Mipango ya kupunguza...
Baadhi ya wanachama wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) kutoka Kaunti ya Kakamega wamemtaka kiongozi wa chama chao Rais...
Kenya na Djibouti zimetia saini hati nne za maelewano kuhusu maeneo tofauti kwa lengo la kuimarisha uhusiano baina ya nchi...
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewataka machifu, wasaidizi wao na mashirika mengine ya usalama kuchagua kati ya kupoteza kazi na kutokomeza...
Kamati ya Bunge ya Kitaifa ya Fedha na Mipango imetoa mapendekezo zaidi kwa vifungu kadhaa vyenye utata katika muswada wa...