IEBC Inadaiwa Shilingi Milioni 403 Zilizokusanywa Tangu 2013 – Marjan
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imefichua orodha ya watu wanaodaiwa na shirika la uchaguzi Shilingi milioni 403 za...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imefichua orodha ya watu wanaodaiwa na shirika la uchaguzi Shilingi milioni 403 za...
Mahakama kuu ya Nyamira imeidhinisha ushindi wa gavana wa kaunti hiyo Amos Nyaribo ikitaja ukosefu wa ushahidi wa kutosha kufutilia...
Afisa mkuu wa polisi amedungwa kisu hadi kufa na mwanamke alipokuwa akiendesha oparesheni dhidi ya pombe haramu akiwa peke yake...
Serikali sasa inataka kesi zinazowahusisha akina mama walio na watoto walioko rumande kuharakishwa iwapo makosa yanayodaiwa yataangukia katika kitengo cha...
Mwendesha bodaboda, Gideon Cheruyiot, amekanusha ripoti kwamba alikuwa kwenye mahusiano na mwakilishi wa wanawake wa Bomet Linet Chepkorir almaarufu Toto....
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa jamii ya Luo Willis Opiyo Otondi amefariki. Spika wa Bunge la Kaunti ya...
Rais William Ruto atasafiri leo hii Ijumaa kuelekea Ethiopia kushiriki Kikao cha 36 cha Kawaida cha Wakuu wa Nchi na...
Kumekuwa na mjadala mkali katika Bunge la Seneti huku Maseneta washirika wa Azimio wakimshutumu Spika Amason Kingi kwa kuingilia masuala...
Rais William Ruto amesema kuwa utawala wake utatoa hesabu kamili ya fedha zilizochangwa ili kukabiliana na ukame unaozidi kuwa mbaya...
Maafisa wakuu wa Jubilee wanaozozana Jeremiah Kioni na David Murathe leo Alhamisi wamepata afueni ya muda baada ya Mahakama ya...