Watu Kadhaa Wakamatwa Wakipinga Mswada Wa Fedha Jijini Nairobi
Waandamanaji kadhaa waliojitokeza katika barabara za Nairobi kupinga mapendekezo ya Mswada wa Fedha wa 2023-24 wamekamatwa. Waandamanaji hao waliobeba...
Waandamanaji kadhaa waliojitokeza katika barabara za Nairobi kupinga mapendekezo ya Mswada wa Fedha wa 2023-24 wamekamatwa. Waandamanaji hao waliobeba...
Mwenyekiti wa Shirika la Kitaifa la Mafuta nchini Kenya Kiraitu Murungi amemtaka Rais William Ruto kuwekeza katika uzalishaji wa mafuta...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Afya katika Idara ya Kitaifa ya Afya ya Umma na Viwango vya Kitaalamu, Josephine Mburu anasema...
Kulingana na ripoti ya Benki Kuu ya Kenya, unga wa mahindi na ngano ni miongoni mwa bidhaa ambazo bei yake...
Mamlaka ya Ugavi wa Dawa nchini (KEMSA) imebatilisha orodha ya wasambazaji wote waliohitimu awali kufuatia utata unaohusu michakato ya ununuzi...
Waziri wa Kitaifa wa Maendeleo ya Mazao Kello Harsama ametangaza makubaliano ya shirika ambayo Serikali ya Kenya ilitia saini na...
Magavana sasa wanaweza kufurahi baada ya Hazina kutangaza kuwa itatoa pesa za Aprili wiki hii. Akihutubia wanahabari hii leo...
Kulingana na HassConsult, kampuni ya mali isiyohamishika, thamani ya ardhi katika miji mikuu kama vile Nairobi iliongezeka mara kumi kati...
Gavana wa Baringo Benjamin Cheboi amewahimiza vijana wa Baringo kujifunza lugha za kigeni ili kuwawezesha kupata nafasi za kazi nje...
Maafisa wanne wa polisi wamekamatwa kwa madai ya kuiba zaidi ya Ksh 300,000 kutoka kwa mfanyabiashara mmoja Nyamakima, Nairobi. ...