KPA Yazindua Shughuli Za Upangaji Kwa Meli Za Mafuta
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari ya Kenya (KPA) imefanikiwa kuanza shughuli za upangaji haswaa mwendo wa usiku kwa meli zilizojaa...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari ya Kenya (KPA) imefanikiwa kuanza shughuli za upangaji haswaa mwendo wa usiku kwa meli zilizojaa...
Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali imewaondoa Wakenya milioni saba ambao walikuwa wameorodheshwa katika Taasisi ya Kurejelea Mikopo (CRB). ...
Mbunge wa Kathiani Robert Mbui ameisuta serikali ya Kenya Kwanza kwa kukaidi maagizo ya mahakama baada ya Mamlaka ya Udhibiti...
Wakenya wameanza kuhisi uchungu kwenye pampu kufuatia ukaguzi wa bidhaa za petroli kwenda juu na Mamlaka ya Kudhibiti Mafuta ya...
Katibu Mkuu wa Idara ya Teknolojia na Mawasiliano Prof. Edward Kisiang’ani amewataka wadau wa uchumi wa ubunifu kuchangamkia teknolojia ili...
Baada ya ujio wa Kinara wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga humu nchini na kufululiza hadi katika uwanja...
Baraza la Mawaziri limeidhinisha kuanzishwa kwa kamati maalum kuhusu miswada ambayo haijashughulikiwa. Kamati ya Uhakiki wa Miswada Inayosubiri itatwikwa...
Azimio la Umoja imetangaza msururu wa maazimio ya kukabiliana na Rais William Ruto, ambaye alipuuza matakwa yao kuhusu Sheria ya...
Gavana wa Benki Kuu ya Kenya (CBK) Kamau Thugge anasema hakutakuwa na shinikizo la mfumuko wa bei kwa Wakenya kutokana...
Rais William Ruto anasema ametumia Ksh.250 milioni kutoka mfukoni mwake katika kipindi cha miaka 10 kusaidia uchangishaji fedha kwa waendeshaji...