Home » Mwanamke Apata Mshtuko Alipotembelea Mpenziwe Kevo

Mwanamke mmoja nchini kenya alilazimika kuketi sakafuni na kulia bila kujizuia baada ya kujaribu kumtembelea mpenzi wake Kevo na kupata viatu vya mwanamke mwingine nje ya nyumba.

 

Kulingana na video iliyosambazwa na Obidan Dela, mwanadada huyo alienda nyumbani kwa mpenziwe kum-surprise lakini badala yake alishangaa kupata mwanamke mwingine.

 

” Nitatoka hapa nikishajua ni nani. Nataka kumjua alafu nimwachie.”

 

Mwanamume aliyekuwa akirekodi video hiyo alijitolea kumpeleka nyumbani kwake ili akalale huko lakini alikataa kukubali kitendo hicho cha fadhili.

 

“Najaribu kumwambia anakuja aje nyumbani kwangu amesema hataki.”

 

Wakenya walikuwa na maoni haya kuhusu swala hili:

“It had to be a Kevin 😂😂😂😂 . Lakini mbona huyu jamaa anataka kwenda kulala na yeye?😂😂”

 

“😂😂chali anataka mtu anavaa heels….unakuja aje na crocks pia wewe😂…see the difference 😂.”

 

“Ama hizo viatu kevoo huvaa akifua😂😂.”

 

“Kwani mwanaume huezi buy heels za kuvaa ukifix bulb? Madem muache kuoverthink🤣.”

 

“Natamani utambue thamani yako jinsi ulivyo mrembo na jinsi ulivyo na nguvu, utajisamehe mwenyewe kwa kukaa mahali ambapo hukupendwa na kuthaminiwa, iwe ni mwanamke au mwanaume.”
Kanairo Wueh…

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!