Miili 37 Kutoka Kwa Ajali Ya Londiani Imetambuliwa
Miili 37 kati ya 52 ya waathiriwa wa ajali ya barabarani Ijumaa huko Londiani imetambuliwa. Miili ambayo imehifadhiwa katika...
Miili 37 kati ya 52 ya waathiriwa wa ajali ya barabarani Ijumaa huko Londiani imetambuliwa. Miili ambayo imehifadhiwa katika...
Seneta wa Busia Okiya Omtatah amewapa wasimamizi wa Mamlaka ya Kudhibiti Kawi na Petroli (EPRA) makataa kutii amri ya mahakama...
Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya ameahidi kumjengea Stevo Simple Boy nyumba. Ahadi hiyo inajiri wakati msanii huyo anadaiwa...
Wanajamii walio katika mazingira magumu wameanza kupokea msaada wa kifedha kutoka kwa serikali chini ya mpango wa pesa za Inua...
Chama cha Wakuu wa Shule za Sekondari nchini (KESSHA) kupitia kwa mwenyekiti wao, Indimuli Kahi kimeiomba serikali kuongeza walimu katika...
Katika mwaka huu wa fedha, serikali imetenga fedha za kandarasi kwa wafanyakazi wa afya 8,570 chini ya mpango wa Afya...
Viongozi Wa Muungano Wa Azimio La Umoja Wameikashifu Serikali Kutokana Na Kutozwa Ushuru Wa Juu Huku Kukiwa Na Gharama Kubwa...
Mbunge Wa Zamani Wa Subukia Koigi Wa Wamwere Sasa Amesema Kuwa Suala Zima La Korti Kusimamisha Utekelezwaji Wa Mswaada Mpya...
Mvulana mwenye umri wa miaka 15 alifariki baada ya kupigwa na umeme katika kijiji cha Wi-Rakuom, eneo bunge la Ndhiwa,...
Mbunge wa Kathiani Robert Mbui ameisuta serikali ya Kenya Kwanza kwa kukaidi maagizo ya mahakama baada ya Mamlaka ya Udhibiti...