Wawakilishi Wadi Wa UDA Nakuru Wapuuza Agizo La Chama
Muungano wa Wanachama wa wawakilishi wadi Kaunti (AMCA) umepuuza agizo la uongozi wa Kenya Kwanza unaowaagiza kusitisha mpango wa kufungwa...
Muungano wa Wanachama wa wawakilishi wadi Kaunti (AMCA) umepuuza agizo la uongozi wa Kenya Kwanza unaowaagiza kusitisha mpango wa kufungwa...
Watoto wawili katika kaunti ya Pokot Magharibi wamelazwa hospitalini baada ya kupigwa risasi na watu wanaoshukiwa kuwa wavamizi kutoka kaunti...
Gavana wa Siaya James Orengo amewataka Wabunge kuzingatia malalamiko ya umma kuhusu masuala ya Mswada wa Fedha wa 2023. ...
Mamlaka Huru ya Kusimamia Polisi (IPOA) imeshutumu mashambulizi katika eneo la Kaskazini Mashariki kufuatia mauaji ya afisa mmoja wa Hifadhi...
Mashirika ya kiraia yamepinga mswada uliowasilishwa bungeni wa kutaka kufuta sheria katika Sheria ya Kupambana na Ufisadi na Uhalifu wa...
Mvutano umetanda katika mpaka wa Nkaararo-Enoreetet huko Trans Mara Magharibi kutokana na mapigano mapya yaliyosababisha kuchomwa kwa mashamba. OCPD...
Mtangazaji wa Morning Kiss Sheila Kwambox anasema anataka kujifunza ujuzi fulani kabla ya kusema 'I Do'. Kulingana naye, ustadi...
Kasisi Ezekiel Odero wa Kanisa la Newlife Prayer Church Mavueni katika Kaunti ya Kilifi amepoteza Ksh500,000 baada ya polisi kumwondolea...
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amewekwa pabaya na wakuu wa shule kutokana na kucheleweshwa kwa utoaji wa fedha kwa shule...
Serikali imezindua maelewano ya kuwafuatilia wapiganaji wa Mau Mau na vizazi vyao katika mipango ya kuanzisha sajili na mpango mwafaka...