Gachagua Kwa Wakenya: Jifunze Kuweka Akiba Ili Serikali Iwache Kukopa Nje
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amewataka wakenya kukumbatia utamaduni wa kuweka akiba akisema hilo ndilo litakalosaidia nchi kujiondoa katika ukopaji...
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amewataka wakenya kukumbatia utamaduni wa kuweka akiba akisema hilo ndilo litakalosaidia nchi kujiondoa katika ukopaji...
Wakulima wa parachichi kutoka eneo bunge la Gatundu Kaskazini kaunti ya Kiambu wanahesabu hasara kubwa baada ya wezi kuanza kuvamia...
Wakenya kwenye mitandao za kijamii wamemkashfu Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa matamshi ambaye alitoa kwa kwa Mawaziri waliochukizwa na uongozi...
Mwanafunzi mhitimu wa sheria mwenye umri wa miaka 26 aliripotiwa kutekwa nyara dakika chache baada ya kuondoka katika kituo cha...
Mjadala mzito uliibuka mitandaoni kuhusu video ya mtandaoni iliyonasa bendi ya Kenya ya Sauti Sol, ikiwashauri Content Creators kufungua akaunti...
Chama cha Kitaifa cha Walimu nchini Mandera (KNUT) kimetaka usalama bora kutoka kwa serikali ya kitaifa ili shuguli za masomo...
Bodi ya kudhibiti na kutoa Leseni za Vinywaji Vileo katika Kaunti ya Jiji la Nairobi imeweka lengo la mapato la...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari ya Kenya (KPA) imefanikiwa kuanza shughuli za upangaji haswaa mwendo wa usiku kwa meli zilizojaa...
Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali imewaondoa Wakenya milioni saba ambao walikuwa wameorodheshwa katika Taasisi ya Kurejelea Mikopo (CRB). ...
Miili 37 kati ya 52 ya waathiriwa wa ajali ya barabarani Ijumaa huko Londiani imetambuliwa. Miili ambayo imehifadhiwa katika...