Rais Ruto Aapa Kuwaunganisha Wapinzani Wa Sudan
Rais William Ruto ameapa kupanga mkutano wa ana kwa ana kati ya majenerali wanaozozana nchini Sudan ili kumaliza mzozo unaoikumba...
Rais William Ruto ameapa kupanga mkutano wa ana kwa ana kati ya majenerali wanaozozana nchini Sudan ili kumaliza mzozo unaoikumba...
Waziri wa Biashara na Uwekezaji Moses Kuria ametoa uamuzi kwa wauzaji na watengenezaji wote wa pombe na kuweka kiwango kipya...
Mashirika ya kiraia chini ya mwavuli wa Operesheni Linda Ugatuzi yameeleza nia yao ya kuwasilisha ombi mahakamani la kuzuia kuanzishwa...
Polisi huko Mlolongo, Kaunti ya Machakos wamemkamata mwanamke anayedaiwa kuwa mshiriki wa genge la wizi wa watoto katika eneo linalohusishwa...
Wizara ya Afya imetupilia mbali ripoti za wimbi jipya la ugonjwa wa korona nchini. Katika taarifa, waziri wa Afya...
Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya (SUPKEM) limeinyooshea kidole serikali kwa kile wanachotaja kuwa ulegevu katika kuweka hatua kali za...
DJ Brownskin anayejulikana kama Michael Macharia Njiiri ameshtakiwa hii leo Jumatatu kwa kusaidia kujiua kwa mkewe Sharon Njeri Mwangi mnamo...
Wataalamu wa afya wanaonya kuwa magonjwa yasiyoambukiza (NCD) yanazidi kuwa tishio katika nafasi ya pili kama sababu kuu ya vifo...
Polisi huko Busia wanawashikilia wafanyikazi wawili wa G4S waliokamatwa wakisafirisha bangi ya thamani ya Ksh 1 milioni. Wawili hao walinaswa...
Katibu wa maswala ya kisiasa wa chama cha KANU Fred Okang'o ametoa changamoto kwa serikali kufafanua mpango wa Makazi wa...