Home » Wakaazi Samburu Wataka Serikali Kuimarisha Usalama

Wakaazi Samburu Wataka Serikali Kuimarisha Usalama

Watu wawili wanauguza majeraha ya risasi katika hospitali za Baragoi na hospitali ya rufaa ya Samburu baada ya kushambuliwa na wezi wa mifugo katika eneo la Ngoroshe, Baragoi, Samburu kaskazini.

Wakazi wa eneo hilo sasa wanahofia usalama wa wanafunzi wao ikizingatiwa tu ni wiki moja imesalia kabla ya shule kufunguliwa kote nchini.

https://mideyahdigital.co.ke/2023/01/13/wahudumu-wa-magari-wataka-serikali-kupunguza-bei-ya-mafuta-kufikia-kesho-saa-sita/

Mkaazi Lomoru Ngetera alipigwa risasi kwenye mgongo alipokuwa malishoni huku Lisani Letipila alipigwa risasi mguuni. Haya yanajiri siku chache baada ya mtu mmoja kupigwa risasi na mifugo kadhaa kuibiwa katika eneo hilo.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!