Home » Viongozi Bomet Washtumu Upinzani Kwa Kueneza Siasa Za 2027

Viongozi Bomet Washtumu Upinzani Kwa Kueneza Siasa Za 2027

Baadhi ya viongozi katika Kaunti ya Bomet wameshutumu upinzani kwa kueneza mapema siasa za urithi wa 2027.

Akizungumza katika Chuo cha Mafunzo ya Wachungaji cha Kaboson, Gavana wa Bomet, Prof. Hillary Barchok amesema miezi minne tu imepita baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa 2022.

Kiongozi huyo amewataka viongozi waliochaguliwa kuwahudumia wakaazi kwa kikamilifu kama njia moja ya kuwapa ahadi za kampeni.

https://mideyahdigital.co.ke/2023/01/13/shabana-fc-reads-riot-act-in-fkf-nsl-league/

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!