Home » Ngoma Ya Chris Brown Yavunja Rekodi Ya Mauzo Marekani

Ngoma Ya Chris Brown Yavunja Rekodi Ya Mauzo Marekani

Ngoma ya mwimbaji nyota duniani, Chris Brown “Call Me Every Day” ambayo amemshirikisha Wizkid imefanikiwa kuuza nakala zaidi ya 500,000 nchini Marekani na hivyo kufikia kiwango cha mauzo ya “GOLD”.

 

Kwa mujibu wa Recording Industry Association of America (RIAA), Chris Brown yupo nafasi ya 11 kwenye orodha ya wanamuziki waliouza zaidi nyimbo zao kwenye majukwaa ya kidijitali nchini Marekani (Best selling digital singles artist) akiwa na jumla ya mauzo milioni 92.

 

Mafanikio hayo yamemfanya Chris Brown kuwa mwimbaji wa kiume aliyetunukiwa Plaque nyingi za hadhi ya Gold kwenye nyimbo zake akimpiku marehemu Elvis Presley.

 

https://mideyahdigital.co.ke/2023/01/13/wakenya-wahimizwa-kutotumia-vifaa-vya-dna-vinavyozungumziwa-nchini/

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!