Home » Chito Na Kwambox:Cash Crop Ya Nairobi Ni Rose Coco

Watangazaji wa The morning Kiss Chito na Kwambox leo hii Jumatatu waliimba wimbo wao wa ‘Cash Crop Ya Nyandarua wa Waru’ ambao umekuwa ukivuma.

 

Wimbo huo ni wa kundi la Gengetone Spider Clan lakini mwimbaji Ngesh ndiye ameteka hisia za wengi.

 

Kwambox alirap kwa kile anachofikiria kuwa ni zao la biashara kwa kaunti zingine,

 

“Cash Crop ya Kisii ni mandizi, Cash crop ya Kisumu ni Samaki, Cash crop ya Kakamega ni muhogo saa zingine ni kuku, Cash crop ya Meru ni Jaba.”

 

Aliongeza “Cash crop ya Nairobi ni Rose Coco”

Rose Coco ni slang mpya inayotumika Nairobi kuelezea sehemu ya siri.

 

Chito hivi majuzi alijiunga na Kwambox kwenye The Morning Kiss baada ya kuondoka kwa mcheshi Oga Obinna. Akizungumza na Kalondu Musyimi kwanini aliondoka, Obinna alisema;

 

“Siko tena kwa Kiss. Nimemaliza mkataba wangu.”Uzoefu umekuwa mzuri na nimefanikisha ndoto yangu na nilifanya kila nilichotaka kufanya. Na kila kitu ninachofanya kuanzia sasa kitakuwa cha ziada.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!