Home » Rosa Ree athibitisha kupata mtoto

Rosa Ree athibitisha kupata mtoto

Mwanamuziki wa nyimbo za Hip-hop kutokea nchini Tanzania, Rosa Ree amethibitisha kupata mtoto na kuwa mama mara baada ya kuchapisha video katika ukurasa wake wa Instagram ikimuonesha katika safari ya kipindi cha mjamzito .

 

SOMA PIA:Rosa Ree Aja Na Ngoma Ya I’m Not Okay

 

Katika video hiyo aliyoichapisha katika kusheherekea siku ya mama duniani, ilionyesha safari ya mabadiliko ya msanii huyo katika mwili wake licha ya sauti yake kusifu yote aliyopitia mpaka kupata mtoto wake ambaye inasemekana kuwa ni Binti.

 

 

Siku ya mama Dunia imeleta hisia nyingi kwa watu mbalimbali hata wale maarufu na hii ndiyo sababu ya Rosa Ree kuandika ujumbe wenye sifa juu ya wamama kwa kusema

 

Wanadamu tumepewa uwezo mkubwa na Mungu, lakini hakuna nguvu tuliyopewa inayozidi ile ya kuwa MAMA! Motherhood is the biggest power given to us humans by GOD! I am proud to announce on this year’s Mother’s Day that I too, AM A MOTHER! Happy Mother’s Day🫶🏽

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!