Home » Wafahamu Washindi Wa Tuzo Za Orange

Baada ya kuwa na ngoja ngoja nyingi juu ya washindi wa tuzo zilizopewa jina la Orange zitolewazo na dadahood Initiative mahususi kabisa kwa ajili ya wanawake, washindi mbalimbali walitajwa katika siku ya wanawake duniani ambapo tuzo hizo zilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

 

MSANII BORA WA KIKE BONGO  FLEVA

Katika nafasi hii mshindi alikuwa ni Nandy mara baada ya kuwapiga chini washiriki wengine wa kipengele hicho kama vile Zuchu,Phina, Maua sama pamoja na Mimi Mars.

 

 

Msanii-bora-Orange-awards

 

MSANII BORA WA KIKE HIP HOP

Moja kwa moja mpaka kanda ya Kaskazini mwa Tanzania Rosa Ree amefanikiwa kuwawakilisha vyema wanakaskazini mara baada ya kuondoka na ushindi wa tuzo hiyo ambayo alikuwa akichuana vikali na wasanii wengine kama vile Chemical, Tannah, Frida Amani na Witness.

 

Rosa Ree

 

DJ BORA WA KIKE

DJ Mammie ndiye mshindi kwa upande wa kipengele hiki cha Dj bora wa mwaka ambapo katika nafasi hiyo aliokuwa akichuana nao ni pamaoja na Dj Jazzy, Dj Sinyorita, Dj Ninah, sambamba na Dj Angie

 

Dj Mammie

 

MTANGAZAJI BORA WA RADIO

Kutokea Clouds Fm kinara wa kategori hii ni Meena Ally

\

Meena Ally

 

MCHEKESHAJI BORA WA KIKE

GLADNESS KIFALUKA

Glagness Kifaluka

 

MUIGIZAJI BORA WA MWAKA

MIMI MARS -Juakali

Khanifa- Huba

Lulu Diva- Juakali

Dorah

Nelly Kamwelu

Mimi Mars

 

MTANGAZAJI BORA WA TV

Ziza Malick

BHOKE EGINA – EATV

Ester Maongezi

Halima Shebuge

Lolah

Bhoke Egina

 

MCHEZAJI BORA WA MWAKA 

OPAH CLEMENT

Pia katika sherehe hizo za ugawaji wa tuzo kiasi cha Shilingi Milioni 400 zimekusanywa ili kuweza kumsaidia watu wenye matatizo ya kusikia.

 

 

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!