Barabara Ya Nairobi Express Kufungwa Kwa Muda Wikendi Hii
Barabara ya Nairobi Expressway itafungwa kwa muda wikendi hii ili kuandaa njia ya kuelekea Nairobi City Marathon. Kampuni...
Barabara ya Nairobi Expressway itafungwa kwa muda wikendi hii ili kuandaa njia ya kuelekea Nairobi City Marathon. Kampuni...
Seneta mteule Gloria Orwoba amezua mjadala mkali kwenye jopo la runinga ya Citizen mnamo Jumatatu aliposhutumu vyombo vya habari kwa...
Polisi wanachunguza tukio ambapo afisa wa polisi alipigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na watu wenye silaha katika shambulizi la kuvizia...
Chama cha Kitaifa cha Walimu Kenya, (KNUT) kinaitaka serikali kukagua uwezo wa walimu kwa shule mbalimbali kote nchini, kikisema kuwa...
Bunge la Kitaifa kesho Jumanne linatarajiwa kuzingatia ripoti za kamati za idara za wateule watatu watakaoteuliwa kushika nyadhifa za mwenyekiti...
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha ameapa kuondoa ufisadi kutoka kwa Wakala wa Ugavi wa Dawa nchini (KEMSA) na Hazina ya...
Jaji Mkuu Martha Koome kesho Jumanne atafungua rasmi Kongamano la pili la Kitaifa la Mifumo Mbadala ya Haki nchini Kenya...
Jua linapochomoza asubuhi tulivu katika Kijiji cha Salama, Mama Pamela Agutu yuko katika majonzi. Watu watano waliuawa katika shambulizi...
Mbunge wa Nandi Hills Bernard Kitur amejiunga na kundi la wabunge washirika wa Kenya Kwanza ambao wameona kuwa ni jukumu...
Mbunge wa Dagoretti Kaskazini Beatrice Elachi ameelezea kuchukizwa kwake na maandamano dhidi ya serikali. “Sipendi Maandamo kwa sababu tunapitia...