Home » Kundi la Public Eye Kenya Lataka Serikali Kuangazia Malipo Ya NHIF Upya

Kundi la Public Eye Kenya Lataka Serikali Kuangazia Malipo Ya NHIF Upya

Kikundi kimoja kijulikanacho kama Public Eye Kenya kutoka kaunti ya Nyandarua, kimetoa wito kwa serikali kuu kubuni jopo kazi litakalooangazia upya malipo ya bima ya afya nchini NHIF.

 

Wakiongozwa na mwenyekiti Michael Munene, wanachama wa kikundi hicho wamedokeza kuwa sio wakenya wote ambao humudu kulipia ada ya kila mwezi ya NHIF, sasa wakiitaka serikali kuu kutekeleza kikamilifu ahadi ya huduma ya afya kwa wote.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!