Home » Utata Wazuka Ajali Ya Kigogo Tanzania

 

Kupitia katika mitandao ya kijamii kumeibuka uvumi juu ya utata ajali ya Kigogo mmoja wa serikali nchini Tanzania kupata ajali. Lakini ajali hiyo imeongeza utata baada ya kuwa na taarifa za uvumi ya kuwa kiongozi huyo alikuwa na mwanafuzni mmoja wa Chuo Kikuu nchini humo.

 

SOMA PIA:Wanafunzi Miongoni Mwa Abiria Waliohusika Katika Ajali Baringo

 

Tetezi ni kwamba utata ajali ya kigogo huyo ni kuwa alikuwa na mwanafunzi wa chuo kimoja nchi Tanzania na kuwa mwanafunzi huyo alikutwa amefariki na kuwa hata uchunguzi wa polisi bado haujaweka wazi taarifa kuhusiana na kifo cha mwanafunzi huyo.

 

 

Mbali na taarifa ya polisi lakini pia hata taarifa za kitabibu bado hazijajulisha ni nini haswa chanzo cha kifo cha mwanafunzi huyo ambaye yeye alikukwa eneo tofauti la ajali licha ya kuwa mwanafunzi huyo alikuwa na kiongozi huyo.

 

Akiwa bado katika hospitali moja nchini humo kiongozi huyo inasemekana yuko katika hali nzuri na akiendelea kuuguza majeraha na anaendelea vizuri huku taarifa kutoka serikalini ikiisema ya kuwa kiongozi huyo ataendelea na majukumu yake kama kawaida.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!