Home » Wafahamu Washindi Wa Tuzo Za TMA

Tuzo za TMA

 

Mshike mshike wa tuzo wa  TMA umekamilika kwa tuzo hizo kukamilika kwa kutaja washindi Tanzania Music Awards siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Superdom jijini Dar es Salaam. Wafuatao ni washindi wa  Tanzania Music Awards

 

SOMA PIA:Wafahamu Washindani Tuzo Za Tanzania Music Awards

 

WIMBO BORA WA FLEVA 

Upo Nyonyo – Phina
Tamu – Barnaba
Dunia – Harmonize
Kwikwi – Zuchu – Mshindi
Dear Ex – Marioo

MWANAMUZIKI BORA WA KIUME BONGO FLAVA 

Amelowa – Harmonize
Huyu hapa – Mbosso – Mshindi 
Do Do – Dully Sykes
Naogopa – Marioo ft. Harmonize
Asali – Ali Kiba

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE BONGO FLEVA 

Sitaki Mazoea – Shilole
Siwezi – Nandy
Kwikwi – Zuchu – Mshindi 
Tai Chi – Ruby
Nishazoea – Malkia Karen

MWANAMUZIKI BORA WA KIUME HIP HOP 

Kumbuka –Kala Jeremiah
Puuh – Billnass ft. Jaymelody – Mshindi
One Call Away – Country Wizzy
Tawile – Fid Q ft. Rich Mavoko
Tanzanite – Joh Makini ft. Jay Rox

 

SOMA PIA :Wanaohitaji Ufafanuzi Kuhusu Tuzo Za TMA Wakaribishwa BASATA

 

MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MWAKA

Zuchu

Phina – Mshindi

Nandy

 

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE HIP HOP 

Witirialdo – Witness Kibonge Mwepesi
Bibi Titi Vol. 1 – Trixy Tonic
Hapa – Ge2
New Material – Chemical
Blue Print – Rosa Ree – Mshindi 

WIMBO BORA WA HIP HOP 

Blue Print – Rosa Ree – Mshindi
New Material – Chemical
Tanzanite – Joh Makini
Mbabe – Trixy Tonic
Kumbuka – Kala Jeremiah

ALBUMU BORA YA MWAKA

The Kid You Know – Marioo
Made For Us – Harmonize
Love Sounds Different – Barnaba – Mshindi
Street Ties – Conboi Cannabino
Romantic EP – Kusah

MWANAMUZIKI BORA WA KIUME

Ali Kiba

Rayvanny

Harmonize – Mshindi 

Marioo

Dulla Makabila

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE

Zuchu – Mshindi 

Nandy

Trixy Tronix

Chemical

WIMBO BORA WA MWAKA

Pita Huku – Dulla Makabila
Nitaubeba – Harmonize
Nakupenda – Jay Melody – Mshindi
Kwikwi – Zuchu
Mwamba – Rayvanny

VIDEO BORA YA MWAKA

Mwambieni – Zuchu – Mshindi
Pita Huku – Dulla Makabila

Te Quiero – Rayvanny
Deka – Harmonize
Dear Ex – Marioo

MUONGOZAJI BORA WA VIDEO

Mapepo – Director Pozzer
Tunagombania Nini – Ochu Sheggy
Yanabomoka – Nassoro
In Love – Lummy
Freestyle – Kelly Film

PRODUCER BORA WA MUSIC

S2kizzy
Abbah Process – Mshindi
Nusder
Mesen Selekta
Kassumpa Machati

NYIMBO BORA YA KUSHIRIKIANA

Sayuni – Barnaba Classic ft Joel Lwaga
Champion – Kontawa ft. Harmonize
Naogopa – Marioo ft Harmonize
Demu Wangu – Meja Kunta ft Mabantu
Nitongoze – Rayvanny ft. Diamond Platnumz – Mshindi

 

MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MWAKA

Sholo Mwamba –Mshindi

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE SINGELI

Mimah – Mshindi

Snura

Lulu Diva

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE SINGELI

Dulla Makabila

MWANAMUZIKI BORA WA KIUME TAARABU

Hassan Doko – Mshindi

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE  TAARABU

Sabaha Muchacho – Mshindi

MTOZI BORA WA MWAKA HIP HOP

S2kizzy – Mshindi

MWANAMUZIKI BORA KUSINI MWA AFRIKA

Costa Titch – Afrika Kusini

MWANAMUZIKI BORA MASHARIKI MWA AFRIKA

Khalighaph Jones – Kenya

MWANAMUZIKI BORA MAGHARIBI MWA AFRIKA

Kizz Daniel – Nigeria

WIMBO BORA WA MWAKA SINGELI

Dulla Makabila – Pita Huku 

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!