Home » Chebet Ronoh: Kuchumbiana Na Sugar Daddy Ni Aibu

Content creator Chebet Ronoh ameelezea jinsi alivyokuwa anatoka kimapenzi na sugar daddy.

 

Akitumia mtandao wake wa kijamii, msichana huyo alisimulia jinsi alivyokuwa na wasiwasi wakati wa urafiki wake na ‘mubaba’ huyo.

 

Chebet Anadai wanawake wenye sugar daddies sio wanyonge kwani lazima wavumilie mengi kutoka kwa familia zao hata marafiki kwa kejeli ya kila aina.

 

Chebet aliendelea kusimulia jinsi alivyokuwa akionekana kwa aibu hadharani na mzee huyo.

 

“Nilifanya kila kitu na ukweli kwamba watu walinitazama Kila mtu alinitazama tu ‘Hapa ndipo ulipo kweli? Hivi wewe ni nani?’”, “Mimi ni kama….. Oh Mungu wangu.”

 

Chebet aliendelea kuapa kwamba hatapita njia hiyo tena kwani wengi aliokutana nao walidhani yule sugar daddy alikua babake mzazi ila alikua mpenzi wake wakati huo na kujuta kwamba hawezi tena kujaribu watu wasio rika lake.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!