Home » Jaji Mkuu Koome Kuzindua Mahakama Ya Madai Madogo

Jaji Mkuu Martha Koome amefika katika Mahakama ya Sheria ya Meru, kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa Mahakama ya Madai Ndogo.

 

Hii inahitimisha awamu ya 1 ambayo ilishuhudia jumla ya mahakama 12 zikitekelezwa katika kaunti za Nairobi, Kajiado, Kiambu, Machakos, Nyeri, Uasin Gishu, Nakuru, Kakamega, Kisumu na Mombasa.

 

Maeneo hayo yalitambuliwa kuwa ya kimkakati kutokana na kiwango cha biashara kilichofanywa na mrundikano uliopo katika mahakama za mahakimu ndani ya kaunti hizo.

 

Kwa muda wa miaka miwili, Mahakama za Madai madogo zimekuwa zikifanya kazi, zote kwa pamoja zimesikiliza na kuamua zaidi ya kesi elfu kumi na nane zenye madai ya zaidi ya Ksh bilioni 3.7.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!