Home » KRA Yakusanya Shilingi Trilioni 1.55
KRA Comes Clean On Seizing Wedding Dress At JKIA Over Tax

The Taxman while noted that the good was above the limit of Ksh. 75,425 allowed for duty-free items

Mamlaka ya Ushuru ya Kenya K.R.A imetangaza kwamba imekusanya Shilingi trilioni 1.554 kufikia mwisho wa Machi 2023.

 

Katika taarifa yake, mamlaka hiyo imesema ukusanyaji wa mapato ulikuwa wa wastani wa asilimia 95.1 ya lengo la awali na asilimia 93.4.

 

Hii inamaanisha kuwa K.R.A ilikusanya asilimia 8 zaidi ikilinganishwa na mwaka uliopita wa kifedha.

 

Kulingana na KRA imewekeza katika teknolojia ya kisasa, ambayo inafanya kazi kwa ufanisi kama mfumo wa ukusanyaji wa mapato na ulipaji kutoka kwa wakenya hadi kwa (The Exchequer).

 

 

Aidha, K.R.A imesema ina nia ya kuziba mwanya wa kutolipa kwa kutekeleza Miradi ya Kuimarisha Mapato (R.E.I) ambayo ni pamoja na kuzindua (ETIMS) kwa ukusanyaji bora wa V.A.T, ujumuishaji wa mifumo ya K.R.A na kampuni za kamari.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!