Home » Gaidi Wa Ubakaji Nchini Afrika Ya Kusini Akamatwa Tanzania

 

Mfungwa aliyefanikiwa kutoroka gerezani nchini Afrika ya kusini Thabo Bester, ametiwa mbaroni nchini Tanzania mara baada ya kutoweka gerezani tangu Mei mwaka 2022 baada ya kusadikika kufariki kwa kujichoma moto.

 

SOMA PIA:Ujumbe Wa Rais Ruto Wa Pasaka Kwa Wakenya

 

Mamlaka za usalama nchini Tanzania zimeripoti kumtia mbaroni mfungwa huyo katika jiji la Arusha ambapo alikuwa kaiambatana na watu wengine wawili akiwemo mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na Zakaria Alberto.

 

 

Baada ya kutoroka katika gereza la Hloko Jijini Bloemfontein huku Afrika ya kusini, iliwachukuwa muda polisi wa upelelezi kubaini ya kuwa mwili ulioungua kwa moto siyo mwili sasa ndipo harakati za kumtafuta zilipoanza mpaka sasa kukamatwa kwake.

 

Thabo ni mtuhumiwa wa makosa ya ubakaji nchini Afrika ya kusini ambaye alituhumiwa kwa makosa ya ubakaji pamoja na uizi aliokuwa akiwafanyia wanawake aliowabaka kupitia mtandao wa Facebook.

 

 

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!