Home » Mange Ashauri Basata

Tuzo za TMA

 

Dada wa Taifa Mange Kimambi ametoa maoni yake juu ya tuzo za Tanzania Music Awards kutokana na mjadala mkubwa ulioanzishwa mara baada ya tuzo hizo kutangaza vipengele pamoja na washirika wake.

 

SOMA PIA:Wafahamu Washindani Wa Tuzo Za Music Awards

 

Katika ukurasa wake wa Instagram Mange ametoa ushauri kwa Baraza la Sanaa la Taifa kutokana na mashambulizi waliyokutana nayo kutoka kwa wasanii pamoja na wadau wa muziki. 

 

Mange aliandika ya kuwa …..Dear Basata, nimeona leo mmevamiwa sana. Huu hapa ushauri wangu kwenu

 

Ushauri wa Mange kwa basata

 

Ushauri huu wa Mange kwa Basata umekuja mara baada ya wasanii mbalimbali kuzikosoa tuzo hizo kwa kuelezea ya kuwa ni tuzo ambazo zimejawa na upendeleo mkubwa kutokana na baadhi ya wasanii kukosekana katika vipengele ili Hali walistahili.

 

Baadhi ya wasanii hao ni pamoja na Mbosso ambaye aliutaja wimbo wake wa Huyu Hapa kuwa ni moja ya nyimbo zilizotakiwa kuwepo sambamba na EP yake ya Mbosso Khan ya kuwa ilitakiwa kuwepo katika Albamu bora ya mwaka.

 

Naye pia Rayvanny alieleza kucherekwa na tuzo hizo sambamba na Baba Levo naye amekuwa moja ya wadau wa soka ambao wako mstari wa mbele kukosoa tuzo za TMA.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!