Home » Wakenya Kwa Joho: Rudi Nyumbani Kuna Maandamano

Aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Mombasa Ali Hassan Joho aliwasisimua watumiaji wa mtandao baada ya kuchapisha picha zake akivalia vazi linalokadiriwa kuwa la thamani ya karibu au zaidi ya sh. Elfu mia 400 pamoja na Range Rover katika jimbo la Minnesota, Marekani.

 

Akipakia picha hiyo kwa wafuasi wake zaidi ya milioni 1.3, Joho vile vile alidokezea habari za likizo yake.

 

Mwanasiasa huyo wa zamani alionekana mwenye mvuto huku akivalia koti jeupe la puffer, suruali ya khaki iliyolingana na skafu yake ya kahawia iliyounganishwa na sneakers nyeupe.

 

Joho alikuwa amevaa koti asili la minty Moncler’s Dincer lenye hood ambalo kulingana na tovuti ya mavazi ya kifahari lina thamani ya Sh 227,675. Miguuni mwanasiasa huyo alikuwa akitikisa viatu vyeupe vya Alexander McQueen, ambavyo inasemekana vinauzwa Sh 70,092.

 

Wanamtandao walimiminika sehemu ya maoni wakimkashifu gavana huyo wa zamani huku wengine wakimpigia debe kwa kumwacha raila odinga huku wakiuliza kama atakuwepo kwenye maandamano ya tarehe 20 Machi.

 

dag_stevens: HAJ – Hassan Ali Joho. 🔥🙌

 

mrcharming_bwouy: Unavunja ndoa za watu

 

jacjewel: Forever 001 HAJ😍

 

_quinnlisa: 𝐘𝐨𝐮 𝐚𝐫𝐞 𝐚 𝐝𝐚𝐩𝐩𝐞𝐫 🔥🔥🔥

 

dreezy__254: JUST Make sure 20th imekupata huku bro😂….tuko na date na Jakom. Looking great 001🔥

 

hamidaroseh: I Admire you for no reasons…

 

jabberwakili: Waziri wa ardhi maandamano is no ama?

 

oketchosore: Come back home 001, maandamano is loading 🔥

 

mwangi_car_dealer1: Eeeee bossiiiii🔥🔥🔥

 

sukrealexander: Waziri wa ardhi before election😂😂😂Sasa Mzee wako Mon anasema n Maandamano

 

iamominde: Bro, hukuji maandamano?

 

manchareheche:Umetorokea US Jamaa

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!