Home » Maina Kageni Awataka Wanaume Kuvalia Vyema

Mtangazaji wa kipindi cha asubuhi cha Classic 105 Maina Kageni amewataka wanaume kuvaa vizuri wanapotoka na wanawake wao.

 

Maina alisema hayo kwenye mazungumzo ya asubuhi alipowataka wanawake wazungumzie wanaume wao ambao hawawezi kuvaa vyema.

 

“Je, wanaume wanaelewa kuwa wanaweza kuwa aibu kubwa sana kwa wanawake wao kwa kuvaa vibaya na kuwa wachafu?”

 

Aliuliza mpiga simu akasema “Maina, Ubaya wa kupeleka wanaume kwenye sherehe za ofisini kwako, wataanza kukutia aibu. Unapomwambia bosi wako, wanaanza kuleta drama zisizo za lazima ati huyo ni nani? Ni heri wakae tu home”

 

Mwingine aliyepiga simu alisema wanawake ndio wa kulaumiwa kwa kutoka na mwanamume mkorofi.

 

Carolyne Kinuthia: Kufanya nini na kuna office husband’s …kila mtu akae kwa lane yake….
Cyprian Muthee: Wacha hiyo invite ikae hata zikipatikana #MainaAndKingangi 😂😂

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!