Boutross Munene Avuma Kwenye Twitter
Mwanamuziki wa Kenya Boutross Munene kwa sasa anavuma kwenye Twitter baada ya ripoti kusambaa kwa madai kuwa picha zake za uchi zimevuja mtandaoni.
Hitmaker huyo wa ‘Angella’, takriban miezi michache amevuna na wimbo wake uliopendwa zaidi nchini na hata kuwa wimbo wa kwanza kupata view milioni moja chini ya siku sita.
Taarifa hiyo ilitoka kwa Bloga Edgar Obare ambapo Munene anasemekana kuvuja picha zake huko kwanza kabla ya kusambazwa kwenye Twitter.
Kifikia sasa Boutross bado hajatoakauli yake kuzungumzia hali hiyo.
Sehemu ya mashabiki wake wamekuwa wakimtagi kwenye tweets zao wakitumai atajibu lakini bado hajafanya hivyo.
Boutross ndiye star wa hivi punde wa madai ya uvujaji wa picha zake mitandaoni. Juzi tu, wanahabari Betty Kyallo na Azziad Nasenya pia walikuwa wakivuma kuhusu tukio kama hilo.
Wawili hao walibatilisha ripoti hizo kwa kauli mbili tofauti, huku Betty akitishia kuwachukulia hatua za kisheria walioanzisha sakata hiyo ghushi.
“…We have been assured that any persons (s) and/or blogs, or social media accounts found guilty of originating the false news will be prosecuted,”.
Betty alitaja kuwa habari hizo ghushi ni jaribio la kuchafua jina lake ambalo limejengwa kwa muongo mmoja.
“The nature of the content circulating on social media platforms is false, malicious, and of the intent to tarnish the Betty Kyallo brand which has been carefully cultivated over the past decade. The aforementioned content is in no way a representation of the Betty Kyallo brand,”.
Kwa upande mwingine, Azziad alitoa wito kwa Wakenya kuacha kuwadhulumu wengine mtandaoni na wajifunze kusherehekea mambo ambayo yanawainua.
“I’m sure by now most of you have seen it and I’m here to burst your bubble because that is not me. And I am grateful to my online family for coming forward and saying that is not me.
“I feel like it’s 2023 and I am over here minding my business and you are over there in my business? We should not be in the business of creating false information around such topics because if you are spreading such information then you are being an enabler to cyber bullying which is not cool,” alisema.