Eddie Butita Ananunua Jaguar Ya Milioni 5

Mcheshi wa zamani wa Churchill Eddie Butita amenunua gari aina ya Jaguar lenye thamani ya takriban milioni tano.
“Ni MUNGU hakuna lisilowezekana…”
Kwa mujibu wa Butita gari hilo ambalo ni toleo la 2017 huenda kwa angalau milioni 4.5.
Watu mashuhuri wametoa maoni ya kumpongeza, wakisema anastahili.
blessednjugush: Bro you deserve this and more….naona rangi ata umeamua ya white!!!!! Budah unastahili bora jamani!!!!!!!!!!!
@director_trevor: Hongera Big Man
@liz_j.a.ckson: Hongera sana mdosi.
@marya_okoth: MASTERRRRRRRRR!!!!!UNASTAHILI.
@clark254_: Watu mnatoa wapi pesa na wakenya tunalia unga!? hongera lakini mkuu, unastahili.
@panaijosh: Hongera kaka unastahili kila kitu katika maisha haya
@its_wambui_mainah: Eeish hongera sana bw.director