Home » Mama Ajifungua Watoto Watano

Kwa mara ya kwanza mwanamke mwenye umri wa miaka 25 amejifungua watoto watano ,waschana wanne na mvulana mmoja katika hospitali ya nakuru level 5 kaunti ya Nakuru jana jioni .

Kulingana na daktari Aisha Maina, mama huyo alipelekwa katika chumba cha upasuaji baada ya kubainika kuwa alitarajiwa kujifungua watoto watano.

Aidha kulingana na taarifa ya hospitali hiyo, mama na wanawe wako katika hali salama .

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!