Home » Rapa Bando Atoa Wosia Kwa Vijana

Rapa Bando/picha kwa hisani/

Rapa anayekuja kasi nchini Tanzania Bando amefunguka vitu ambavyo vijana wengi kwenye muziki bado hawajavijua na kuvikubali.

Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema kwamba sio lazima mastaa wakubwa kama Diamond Platnumz, Harmonize na Rayvanny wawambie kuwa watafanikiwa bali ni mtu binafsi na juhudi zake ndio zitafanya afanikiwe.

 

Katika hatua nyingine Bando amesema kuwa Hitmaker wa “Chitaki”, Msanii Diamond Platnumz amemfundisha vitu vingi katika muziki wake baada ya kukutana naye na ndio maana kuna vitu kadhaa amevibadilisha katika kazi zake.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!