Home » Wafahamu Washindani Wa Tuzo Za Music Awards

Wafahamu washindani tuzo za TMA

 

Subira yavuta heri, hili limetimia mara baada ya washiriki watakaowania tuzo kubwa nchini Tanzania za Tanzania Music Awards kutangazwa katika hafla zilizofanyika jijini Dodoma katika hoteli ya Morena.

 

SOMA PIA: Zuchu Apewe Heshima Yake

Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt Pinda Chana ambaye alipata wasaa wa kutangaza wasjiriki wa tuzo hizo.

Wafuatao ni washiriki wa Tuzo hizo za Tanzania Music Awards  (TMA) zikifanyiika kwa mara ya pili mfululizo tangu kuzinduliwa kwake.

 

WIMBO BORA WA FLEVA 

Upo Nyonyo – Phina
Tamu – Barnaba
Dunia – Harmonize
Kwikwi – Zuchu
Dear Ex – Marioo

MWANAMUZIKI BORA WA KIUME BONGO FLAVA 

Amelowa – Harmonize
Huyu hapa – Mbosso
Do Do – Dully Sykes
Naogopa – Marioo ft. Harmonize
Asali – Ali Kiba

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE BONGO FLEVA 

Sitaki Mazoea – Shilole
Siwezi – Nandy
Kwikwi – Zuchu
Tai Chi – Ruby
Nishazoea – Malkia Karen

MWANAMUZIKI BORA WA KIUME HIP HOP 

Kumbuka –Kala Jeremiah
Puuh – Billnass ft. Jaymelody
One Call Away – Country Wizzy
Tawile – Fid Q ft. Rich Mavoko
Tanzanite – Joh Makini ft. Jay Rox

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE HIP HOP 

Witirialdo – Witness Kibonge Mwepesi
Bibi Titi Vol. 1 – Trixy Tonic
Hapa – Ge2
New Material – Chemical
Blue Print – Rosa Ree

WIMBO BORA WA HIP HOP 

Blue Print – Rosa Ree
New Material – Chemical
Tanzanite – Joh Makini
Mbabe – Trixy Tonic
Kumbuka – Kala Jeremiah

ALBUMU BORA YA MWAKA

The Kid You Know – Marioo
Made For Us – Harmonize
Love Sounds Different – Barnaba
Street Ties – Conboi Cannabino
Romantic EP – Kusah

MWANAMUZIKI BORA WA KIUME

Ali Kiba

Rayvanny

Harmonize

Marioo

Dulla Makabila

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE

Zuchu

Nandy

Trixy Tronix

Chemical

WIMBO BORA WA MWAKA

Pita Huku – Dulla Makabila
Nitaubeba – Harmonize
Nakupenda – Jay Melody
Kwikwi – Zuchu
Mwamba – Rayvanny

VIDEO BORA YA MWAKA

Mwambieni – Zuchu
Pita Huku – Dulla Makabila

Te Quiero – Rayvanny
Deka – Harmonize
Dear Ex – Marioo

MUONGOZAJI BORA WA VIDEO

Mapepo – Director Pozzer
Tunagombania Nini – Ochu Sheggy
Yanabomoka – Nassoro
In Love – Lummy
Freestyle – Kelly Film

PRODUCER BORA WA MUSIC

S2kizzy
Abbah Process
Nusder
Mesen Selekta
Kassumpa Machati

NYIMBO BORA YA KUSHIRIKIANA

Sayuni – Barnaba Classic ft Joel Lwaga
Champion – Kontawa ft. Harmonize
Naogopa – Marioo ft Harmonize
Demu Wangu – Meja Kunta ft Mabantu
Nitongoze – Rayvanny ft. Diamond Platnumz

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!