Home » Harmonize Amshukuru Mama Zuu

 

Mkali wa kibao cha Single Again Rajab Ablul Halal amemshukuru mzazi mwenzake Shanteel wakati alipokuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 29.

 

Kupitia ukurasa wa binti wa Harmonize ambaye anajulikana kama Zurekha kuliandikwa maneno yenye utamu yakimtakia Harmonize heri ya siku ya kuzaliwa na kumtaja kama baba bora  kwa binti huyo ambaye kwa sasa  akaunti hiyo iko chini ya mama yake Shanteel na kumaliza kwa kuandika

I LOVE YOU DAD

Harmonize podcast

 

Harmonize naye akachukuwa nafasi hiyo kumshukuru Shanteel kwa kuamini maneno hayo mazuri yaliyoandikwa na Mzazi huyo na kujibu kwa urefu zaidi juu ya uhusiano mzuri uliopo baina yao juu ya malezi ya ushirikiano waliyonayo juu ya binti yao Zuu huku akimaliza kwa kusema

 

Huwezi zaa na KONDE ukawa unatia huruma, Hata Nisipo Kuwa na Hela Watu Wananipenda Saaaaana siwezi SHINDWA VITU VIDOGO   Your Next Bosslady

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!